Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
Kwa kifupi unahitaji mkopo wa shilingi milioni 35 bila kuweka dhamana ya mali inayoendana na milioni35 right? ila maneno yako tu kuwa una 'uwezo wa kulipa' ndio yawe dhamana tosha si ndio mkuu?
Una wazo zuri lakini kwa nchi yetu hii labda ukopeshwe na ndugu na sio tahasisi hizi za kibenki.kumbka milioni 35 kulipa kwa miaka 8 unaweza tozwa riba ya 25% kwenja juu.Ukijumlisha utakuta unahitajika kulipa kama 43milions.Kama box unapiga serikalini hapo sawa ila kama ni kwa muhindi ni ngumu mtu kukudhamini.
kwa serikali inawezekana vipi wa bukoba?una wazo zuri lakini kwa nchi yetu hii labda ukopeshwe na ndugu na sio tahasisi hizi za kibenki.kumbka milioni 35 kulipa kwa miaka 8 unaweza tozwa riba ya 25% kwenja juu.ukijumlisha utakuta unahitajika kulipa kama 43milions.kama box unapiga serikalini hapo sawa ila kama ni kwa muhindi ni ngumu mtu kukudhamini.
Miaka 4 mingi sana huwezi kupata huo Mkopo kwneye taasisi na kupewa na mtu ndio kabisaaa maana huwa watu binafsi wanategemea pesa zao zirudi mapema mapema.
kwa nn hiyo 5 umwachie huyo atakaekusaidia? hii sio dalili nzuri
User name yako.. inaogopesha ukizingatia na hilo ombi
kwa nn hiyo 5 umwachie huyo atakaekusaidia? hii sio dalili nzuri
wasi wasi na hili pia... sio ndo kutokomea na 30 mils za watu ukizingatia hakuna fixed asset yeyote ilowekwa rehani...mh!! You're drunk go home. ..
sidhani kama ungeniona ungesema hayo au ungefika ofisini kwangu, usifikiri kila mtu anakuwa vile unavyomtizama
Mi ningekupa lakini sio bank na niko far, sa ukishindwa kulipa au ukifa je?
mh, maelezo zaidi naweza kutoa kwa mtu atayekuwa tayari siwezi kumwaga kila kitu hapa.Mkuu risk ya kutoa milioni 35 kwa mtu asiye na dhamana wala haeleweki ni kubwa sana. Na pia hujaeleza riba itakuwa kiasi gani, yaani unaona kama hiyo milioni 5 ndio riba yenyewe au ni mlungula kwa banker atakayepindisha taratibu za benki kukuwezesha kukopesheka??
Kwa kifupi maelezo yako hayatoshelezi kabisa kumridhisha mkopeshaji. Na ile mikopo yetu ya uswahilini ya kulipana ndani ya muda mfupi riba yake huwa ni zaidi ya 20% kwa mwezi, which means ka_milioni tano kako hakafikii hata riba ya mwezi mmoja kwa ile mikopo ya benki binafsi za uswazi. Mkuu nakuhakikishia kwa hapa duniani hutopata huo mkopo, labda ahera.