Wakuu janvini heshima zenu!Ninayo project inayo endelea tatizo nahitaji push kidogo kifedha ili niweze kuifanya vizuri maana iko vizuri hata projection inaimpress mwenye uwezo jamani wa kusapoti kwa maana ya mkopo naomba ajitokeze ili tuweze kusonga mbele.