Mkopo mkopo mkopo

Mkopo mkopo mkopo

Joined
Jan 22, 2014
Posts
42
Reaction score
2
Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
 
chukua mkopo ili utengeneze pesa. ukijenga nyumba mkopo utaurejeshaje?
 
na kama wachukua mkopo hakikisha una biashara ambayo imeshasimama kwa kiasi flani. mikopo sio mizuri kwa kuanzia biashara, mizuri kwa kuboresha.
 
Back
Top Bottom