I don't think so. Kama unafahamu jinsi WB (and other agencies) wanavyo-operate, then ni dhahiri hakuna jinsi utakavyoweza kutumia pesa ya mradi kwa ajili ya uchaguzi. They have very robust monitoring systems. Na pesa inatoka kwa installment, kutegemeana na performance. Ni vigumu kuhujumu pesa ya mradi . Hata ukihujumu, ni lazima "deliverables" zionekane. Imagine wewe ni project/program manager, uliyeajiriwa na WB or jointly na Serikali na WB. Wewe ndio signatory kwa matumizi yote ya pesa ya mradi. Kuna objectives na action plan, detailing what to do and when. Na kila mwaka or baada ya miezi mitatu, Ofisa Miradi kutoka WB anakuja kukagua utekelezaji. Vilevile, kila baada ya miezi 3 ni lazima uwasilishe taarifa ya utekelezaji. Ni kwa namna gani uchaguzi utaingia kwenye kazi za mradi? Pesa inayohujumiwa siku hizi ni ya kodi.
By the way, value ya huu mradi ni kiasi gani? Duration?