Mkopo mrefu kwa muda wa miaka 10

dumila

Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
15
Reaction score
2
Habari wanajukwaa?
nina shida na matatizo makubwa sana yananikabili.l ya kifamilia na kijamii.

Nina hitaji mkopo wa mil 23-25 kwa mtu yoyote au kampuni yoyote kwa makato ya kila mwezi kwa muda wa miaka 10 either makato ya moja kwa moja toka kwa mwajiri au kwa bank standing order ya kila mwezi(mkataba utakao husisha makato ya pension kama mkopo hautakuwa na bima),uthibitisho wa mwajiri wangu kuwa ni mwajiriwa wake,

Kwa yoyote atakayeweza nisaidia hata kwa ushauri na namna ya kulitatuta hili naomba asisite kunitafuta 0625758221.
 
Hela ndefu kidogo kwa usawa huu hui mkopo unaenda kufanyia nini i can help you to find solution.
 
Matatizo ni sehemu ya maisha,ningekushauri kitu kimoja tu kwa sasa hebu tueleze/nieleze matatizo uliyo nayo ya kifamilia na kijamii halafu nitakushauri namna ya kuyatatua.
Tatizo kubwa na binadamu wengi wanadhani pesa ndio solution ya kila kitu kumbe inawezekana tatizo lako likatatuliwa kwa ushauri na hata pesa ikihitajika inaweza isifike hiyo 23-25Milioni.
Kazi ni kwako,nawasilisha!
 
Nashauri ungesubiri uhakiki uishe ili uongeze kuaminika kwa mkopeshaji
 
M 25 na malipo ni mwajili wako,muombe mwajili akukopeshe au akukingie kifua bank,lakini namashaka atashindwa kwa sababu yamkini asikuhitaji ktk ajira yake ndani ya miaka mi3 itakuaje?lakini hebu sema shida yako bila kuficha tuitatue,inawezekana utatuzi wake usihitaji pesa
 
Mawazo mazuri sana..mwajiri ni serikali..ajira ya kudumu..nimepita shm nyingi hawana shida na proposal yangu..issue ni huu uhakiki..wanataka uhakiki uishe ndio nende ila sio kipindi hiki cha uhakiki wanahisi nataka kutimua mbio[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…