Mkopo:Msaada ndugu zangu

Mkopo:Msaada ndugu zangu

mkuu mwenyewe

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Habari wadau wa maendeleo.

Kuna biashara nataka kuanzisha nipo kwenye mchakato. Lakini nimekwama kiasi cha fedha. Lengo la kuandika thread hii ni Nahitaji mkopo wa 1.5 mill tu. Ntarudisha baada ya miezi miwili kwa mkupuo. Mwenye msaada katika hili kunikopesha hapa wadau au kupata contact za wakopeshaji Dhamana nilizonazo ni assets za ndani na za kwenye biashara nayotarajia kuanzisha.

Asanteni sana.
 
Asset za ndan kama zip na hiyo biashara gan unataka kuifanya kama una asset icyo hamishika ita kuwa poa zaid ntakupa iyo pesa ata kesho then riba itarudisha 2mil.

jieleze vizur 2fanye biashara mkuu
 
Asset za ndan kama zip na hiyo biashara gan unataka kuifanya kama una asset icyo hamishika ita kuwa poa zaid ntakupa iyo pesa ata kesho then riba itarudisha 2mil.

jieleze vizur 2fanye biashara mkuu

Thanks mkuu
Nimeku PM
 
Back
Top Bottom