Mkopo na Priority Programs: Ingia hapa ujue kama utapata au umekosa...


Hacha ilipaswa iwe acha.

Naona na wewe umeingia kwenye kundi la kulaumu bila kutoa suluhisho.

Suluhisho la kukifanya kiswahili kipendwe na kikubalike zaidi ni pamoja na kuzingatia mambo yafuatayo:-
1. Viongozi wa kitaifa watumie kiswahili katika hotuba zao zote bila kuchanganya na lugha nyingine.
2. Katika vituo vya redio na luninga waajiriwe watangazaji wanaokifahamu vizuri kiswahili na waepuke kuchanganya na lugha nyingine wakati wa matangazo.
3. Kuwe na mashindano ya uandishi wa insha za kiswahili na pia kuwe na mashindano ya midahalo ya kiswahili.
4. Serikali na hasa kupitia baraza la sanaa Tanzania iwatumie watu mashuhuri na watu maarufu kukitangaza kiswahili ndani na nje ya nchi.
 
O"level na advance nimesoma benjamini mkapa, wazazi wangu wote wamefariki, mlezi wangu aliyekuwa ananisaidia nae amefariki mwaka huu, nimechaguliwa kusomea bachelor of science horticulture- sokoine university ni priority katika mkopo tena kwa asilimia mia, cha ajabu bodi hawajanipa mkopo hata asilimia 0, je bodi wanaangalia vigezo gani ambavyo mimi sina? Au ndo uonevu kwa watoto wa marehemu kwa sababu hatuna sauti?
 
nimechaguliwa BBA NIT na kitivo inapriorty but 'did not secure by loan bod' olev nmesoma prvt ila ya low clax na wazaz n maskn vyakutosha..

na vp kuhusu boom ntapata kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…