Mkopo NBC

Mkopo NBC

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu habari naomba msaada.

Kuna rafiki yangu kaniomba msaada ili apate uwelewa zaida kuhusu mkopo atakao uchukuwa bank NBC, je hajawaelewa kimahesabu vizuri au vipi! kenda kuomba mkopo nbc kwa mujibu w mshahara wake kambiwa anaweza kupata muda wa kurejesha mkopo miaka saba.

Akapigiwa mahisabu akaambiwa kwa mujibu wa mshahara wako unapata 54m marejesbo yake miaka 7,na kwa mwezi utalipa 1, 270000 tatizo liko hapo riba wanayo ichukuwa ni kubwa sanaaa ukiangalia hiyo m1, 2 70000 x12 =Million 15;240000 na ukipiga hizo milion15;24000x 7 unapata milion106680000.

Faida wanayo ichukuwa kwa miaka7 ni milion 52 je wakuu hapo sawa au huyu rafiki yangu hajawafahamu vizuri nbc arudi tena? shukran wakuu,
 
Hesabu ndiyo ipo hivyo hivyo,haijakosewa mkuu,akitaka asigongwe riba kubwa achukue mkopo wa si zaidi ya miaka 3,ndio riba inapungua ila pia makato ya kila mwezi yataongezeka.
 
Nafikiruri kabla ya yote lazima ajue what is the cost of the loan. Ambayo ni ile interest atakayo lipa kwa miaka saba. Ile principal amount ya kurejesha kila mwezi siyo cost kwako manake hiyo ni kama advance walikupatia urejeshe ndani ya miaka saba
 
Aende CRBD wana unafuu kidogo ila mkuu biashara ya mikopo tunakua kama tunawafanyia kazi benki tu hata mambo ya fixed deposit mi huwa naona ni takataka tu
 
Nakushukuruni sana wakuu kwa maelezo yenu.
 
Kama hiko kiasi kinaenda kuzalisha. Bora uchukue mkopo.
 
Boss mill 52 sio ndogo Kama atazalisha Zaid ya hizo kwa miaka hiyo sawa if not atafute bank nyingine with atleast reasonable interest.
 
Back
Top Bottom