E Endaku's JF-Expert Member Joined May 25, 2007 Posts 321 Reaction score 47 Jan 9, 2014 #1 Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed ! Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya !
Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed ! Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya !
L LIFE HELP Senior Member Joined Nov 29, 2012 Posts 149 Reaction score 71 Jan 9, 2014 #2 Endaku's said: Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed ! Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya ! Click to expand... Unahitaji mkopo wa shs ngapi ? na hy plot iko kwa jina lako ? KARIBU SANA
Endaku's said: Ninahitaji mkopo wa kufanyia biashara , nina plot iliyoendelezwa msingi bweni beach na nina title deed ! Kama ni kutoka bank au watu binafsi tafadhali naomba ushauri jinsi ya kufanya ! Click to expand... Unahitaji mkopo wa shs ngapi ? na hy plot iko kwa jina lako ? KARIBU SANA