Yaani uwa naona haina maana kua na contacts 200 wakati ukiwa na shida ya Laki tu hakuna msaada.kwenye contacts
Mkuu mawazo yako ni mazuri ila hayapo sahihiHapo hapo ulipo kuna jirani yako anaweza kukupa. Mfate
Pia kwenye contacts zilizopo kwenye simu yako kuna mtu anayo. Wapigie simu unaofahamiana nao uwaombe wakukopeshe
Sijajua niweke nini bond kiongozi, pia kuhusu kurejesha naomba niwe narejesha kila jumatano boss sh elfu nne nne kama hutojali ndo uwezo wanguUnaweka nini kama bond mzee? Inakaa siku ngapi?
Naweza kuweka vyeti vyangu na kadi ya nida au kitamburisho cha kupiga kiongoziHuo mkopo unaweka dhamana gani tukupatie?
Hii mbinu tuliwahi kufundishwa kwenye Entrepreneurship kama njia moja wapo ya kupata Mtaji unapotaka kufanya biashara/Ujasiriamali.Kagalegale kwa ndugu na jamaa zako wakupe hiyo 100,000
Kama hadi unaweka Cheti seems utakuwa ni muhitaji sana.Naweza kuweka vyeti vyangu na kadi ya nida au kitamburisho cha kupiga kiongozi
Kutatua shida zangu private, pia kufanya mtaji pia mkuu yani vyote kwa pamoja pia mkuuKama hadi unaweka Cheti seems utakuwa ni muhitaji sana.
Kama hautajali unaweza kusema walau kiufupi lengo la hiyo laki 1 unayoomba.
Kama unataka kuifanya mtaji au unakwenda kusolve shida yako tu privately. Ingefaa iwe mtaji manake unasema unaweza kurejesha elfu 4 nne kila wiki
Siku hizi ishu za utapeli zimekuwa nyingi kidogo kwahiyo watu wamepoteza imani.Kutatua shida zangu private, pia kufanya mtaji pia mkuu yani vyote kwa pamoja pia mkuu
Sawa bana mkuuSiku hizi ishu za utapeli zimekuwa nyingi kidogo kwahiyo watu wamepoteza imani.
Wengine tuko mbali hata hiyo dhamana ya Vyeti itakuwa ngumu kutufikia.
Unaweza kufanya utaratibu uweke bond/uuze hiyo simu janja yako ambapo hautakosa laki 130,000 hadi 200,000 kutegemeana na aina ya simu uliyonayo then utapata hiyo laki 1 yako na fedha ya kununua simu ndogo ya 25,000 hadi 40,000.
Uwezo wangu hapo ndo ulipoishia siwezi kuforce kitu wakati sina uwezo nacho nimeongea hali yangu halisi, ndo maana kuna kuwezekana na kushindikanaMtoa mada unazingua yani mtu akukopeshe bila riba halafu marejesho ni 4000 kwa wiki? Deni litaisha baada ya wiki 25 almost ni miezi 6.Mkopo huo haupo.
Huna ndugu? Majirani hapo unapo ishi hawapo? Au marafiki, badala ya kuja mitandaoni..huko ndo utaaminika kwa hyo ribaUwezo wangu hapo ndo ulipoishia siwezi kuforce kitu wakati sina uwezo nacho nimeongea hali yangu halisi, ndo maana kuna kuwezekana na kushindikana