Mkopo utabaki nikibadili course?msaada

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
Nimepata mkopo lakini nataka kubadili course nikiifika chuo je huo mkopo wangu utaendelea kuwepo au utaondolewa? Msaada tafadhari kwa mwenye ujuzi wa mambo haya anitaarifu
 
kwan unatoka course ipi kwenda ipi?? zngatia field
 
Kama ni udsm ucjisumbue maana hakuna ruhusa ya kuhama kutoka education kwenda course nyingine ila wa course nyingne wanaruhusiwa
Nimepata mkopo lakini nataka kubadili course nikiifika chuo je huo mkopo wangu utaendelea kuwepo au utaondolewa? Msaada tafadhari kwa mwenye ujuzi wa mambo haya anitaarifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…