Girland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2016 Posts 2,489 Reaction score 4,253 Dec 8, 2023 #1 Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje? 2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3? Naomba ushauri wenu tafadhali financial services ,Financial Analyst Financial bank statement
Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho? 1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje? 2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3? Naomba ushauri wenu tafadhali financial services ,Financial Analyst Financial bank statement
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2018 Posts 5,085 Reaction score 9,022 Dec 9, 2023 #2 nenda TIB ( Tanzania Investment Bank).