Mkopo wa biashara

Haya ni kama yale maandishi yanayoandikwa kwenye paketi ya sigara baada ya kupigwa ma Adverts ya nguvu??

Ila pia kuna uzuri kwa kuongozana nao kwani hawa viumbe dhaifu hawakawii kusaini blank cheque!!

Babu DC
 
Mzee DC are you saying you are still willing to go with me? lol...
Nashangaa tu kua hapo bado hata promo nilikua sijaanza...

Nalog off! Sorce (washawasha)
 
Mzee DC are you saying you are still willing to go with me? lol...
Nashangaa tu kua hapo bado hata promo nilikua sijaanza...

Nalog off! Sorce (washawasha)

For this deal....my answer is a BIG YES!!!
 
eheee karibuni wadau leteni habari,sisi tunakula chabo huenda tukaiga!!
 
Karibu sana mkuu,

Wewe umezoea kwenda wapi....FINCA au PRIDE!!!

mzee, sitaki kabisa kusikia haya mafiga sijui nini!!! ingawa sijawahi kwenda benki kukopa!! kuna mizizi nachimbia kwanza chini ili niweze kujastify kwa mabenki.... hiyvo huu uzi utanisaidia kupata taarifa muhimu!!
 
Naomba mtu mwenye kufahamu anijulishe mahali ambapo naweza kupata mkopo wa biashara ambao una interest rate ambayo iko reasonable na masharti ambayo si ya kukatisha tamaa!

Note: Naomba taarifa za mkopo mkubwa ......100m to 1b!!

Dark City!
Hivi kwa sisi wakina yahe unaweza kupata mkopo mkubwa bila collateral au kuwa na historia nzuri na benki unayoomba mkopo?
 
Babu shkamoo, ukishapata huo mkopo nitakusaidi matumizi.

Mhhhhhhhhhhh

Hapa nadhani babu atafuta ushauri wa ADii word by word....

Ila kwa wale wajukuu wateule kama wewe...msiwe na shaka!!

Babu DC
 
Hivi kwa sisi wakina yahe unaweza kupata mkopo mkubwa bila collateral au kuwa na historia nzuri na benki unayoomba mkopo?

Kweli huwezi ila you need to start from somewhere!!

Anzia pale ambapo hutapa tatizo kuwashawishi kwamba utarudisha pesa zao.

Babu DC!!
 
Mhhhhhhhhhhh

Hapa nadhani babu atafuta ushauri wa ADii word by word....

Ila kwa wale wajukuu wateule kama wewe...msiwe na shaka!!

Babu DC

baada ya kusikia hayo ngoja nikusaidie kuulizia huku mtaani.
 
baada ya kusikia hayo ngoja nikusaidie kuulizia huku mtaani.

Ila uwaeleze kuwa babu anataka kufanya biashara na siyo usanii....Hakutakuwa na % yoyote ya kutoa kwa mtu yeyote hata kama ni 0.00000!!!
 
hahahahaha! Nitawaambia kabisa babu yangu hapendi mzaha.

Seriously,

Bangi zake zikipanda anacharaza bakora kama kichaa!!

Anyway....Sipendi ubabaishaji wa hawa wasinii wa bongo...Kama hawatoi mikopo basi waache!!

Siyo mtu anachukua mkopo wa 200mil wenye riba ya 25% na jamaa wanataka 10%....Sasa huyo mtu atawezaje kuulipa huo mkopo??

Babu DC!!
 
babu kwani huwa unavuta? Halafu kulikuwa na thread humu jamaa wana ofisi yao wanakopesha. Jaribu kuisearch babu. Unataka mkopo wa benki au hata hizi asasi zingine za fedha?
 
Naomba mtu mwenye kufahamu anijulishe mahali ambapo naweza kupata mkopo wa biashara ambao una interest rate ambayo iko reasonable na masharti ambayo si ya kukatisha tamaa!

Note: Naomba taarifa za mkopo mkubwa ......100m to 1b!!

Dark City!

You reminded me of the following terminolgies

(i) Adverse selection - Potential bad credit risks are the ones who most actively seek out loans (Mishkin & Eakin). How can you think of 100 million loan yet you dont know which banks you can deal with?

(ii) Moral Hazards - If you get that billion, will you invest in the business you applied for or you will go abroad to relax your mind?

(iii) Markets of lemon - seems you dont do business with banks, how will they know whether you are good borrower if we recommend you happened to know banks through JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…