Alex Hamadi Hamis
Member
- Apr 18, 2017
- 86
- 57
Nina kamera ndogo ambayo ina thamani zaidi ya hio pesa, lakini pia nina kifaa cha kamera ambacho pia naweza kuweka kama dhamana... Riba kati ya 10% hadi 15% bossDhamana nini riba unarejesha kihasi gani.
Nipo Dar es Salaam mkuu...Wewe uko wapi mkuu
mkuu ulifanikiwaNina kamera ndogo ambayo ina thamani zaidi ya hio pesa, lakini pia nina kifaa cha kamera ambacho pia naweza kuweka kama dhamana... Riba kati ya 10% hadi 15% boss
Sikufanikiwa boss!mkuu ulifanikiwa
Hapana boss!Habari kiongoz? vipi ulipata mtu wa kukuaidia katika hili?