Kama hujui linalozungumziwa c utulie tu!!!!Umeomba mkopo mwenyewe kwa kujaza form ukinyimwa unasema vibaya
Kwanza hujui hata sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza lini na melezo ya retention fee!Wakati mnajaza hizo form hamkuona hiyo value retention fee???
Wakati mnapokea boom zenu na kutanua hamkuyajua haya?
Anyway kama kweli mpo serious basi fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kura
Kwanza hujui hata sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza lini na melezo ya retention fee!
Better speak out if you know much, otherwise some thread na kukaaa kimya. What's the logic of accrue RETENTION FEES imposed ambayo haiangalii umepata kazi, haujapata kazi, umekufa, una wategemezi wangapi, inflation rate, umekuwa kilema, ajira za kazi za muda mfupi, etc.Dawa ya kukopa ni kulipa mkuu usichenge chenge by the way I know so much than you when it comes to Hii sheria
Kwanini ulisaini form yao?Better speak out if you know much, otherwise some thread na kukaaa kimya. What's the logic of accrue RETENTION FEES imposed ambayo haiangalii umepata kazi, haujapata kazi, umekufa, una wategemezi wangapi, inflation rate, umekuwa kilema, ajira za kazi za muda mfupi, etc.
"I know so much"Dawa ya kukopa ni kulipa mkuu usichenge chenge by the way I know so much than you when it comes to Hii sheria
Hii 6% inayoongezeka, mwisho wa siku hii pesa inalipika vipi? Huu Mkopo hauwezi kwisha milele na milele.Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo.
Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika.
Mkopo wa elimu sio sawa na mkopo wa kibiashara. Na kwa ujinga huu mnaofanya itawafanya wengi wapige chenga kutolipa. Mtawapata wale tu wa tasisi na mifumo nayotamulika ya ajira. Acheni kuendeleza ukoloni maomboleo katika nchi iliyopata uhuru
Ni wajibu wa serikali kuelimisha watu wake.Umeomba mkopo mwenyewe kwa kujaza form ukinyimwa unasema vibaya
Uwe serious basi. Wakati tunajaza zile fomu, makubaliano ni kukatwa hadi asilimia 8 kwa mshahara na hakukuwa na value retention fee. Yaani hawa viongozi ni shida kwa kweli. Wamesomeshwa bure na Nyerere halafu wao wanakomoa vijana. Aibu tupuWakati mnajaza hizo form hamkuona hiyo value retention fee???
Wakati mnapokea boom zenu na kutanua hamkuyajua haya?
Anyway kama kweli mpo serious basi fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kura