Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

Mkopo wa elimu ya juu (HESLB)

katunzi89

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
16
Reaction score
9
Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi.

Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
 
Rafiki yangu application fanya usku kabisa ambapo watumiaj wanakua wachach
mchan system inakua overloaded kabisa.jitahid leo usku kama sa 6-9 uwe umeshaprint form ikiea inasubir tu kupigwa mihur ili kesho umalizie alf jumamos uwe umeshamaliza kila kipengele
 
Back
Top Bottom