Nenda bank watakupa utaratibu wote,je ni mwajiriwa wa Serikali au kampuni binafsi? Bank nyingi zimeingia mikataba na makampuni mbalimbali ambapo wafanyakazi wa kampuni husika wanaweza kukopa katika bank husika,hasa unaweza angalia pale mshahara wako unakopita kama unaweza pata mkopo.