Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

Mkopo wa haraka kwa riba nzuri unahitajika

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
705
Reaction score
441
Salaam
Unahitajika mtaji wa HARAKA kwa lengo la kufanyia tender ya dharura (Supply) kwenye taasisi fulani.

Mkopo unaotakiwa ni kiasi cha Tzshs. 3,000,000/= ambapo malipo yake yatafanyika ndani ya siku 45 yakiwa na riba ya 10,000/= kwa siku.

Aliye tayari ani PM kwa makubaliano ya awali kabla hatujaenda kwenye mikataba na wanasheria.
 
ribaaa zitatuuaa jamani punguzeni kdgo hzo riba
 
Back
Top Bottom