Mr. PriceKing Two JF-Expert Member Joined Feb 4, 2014 Posts 235 Reaction score 45 Sep 25, 2014 #1 Wakuu kuna mtu anahitaji mkopo wa dharula Tsh milion 3 atarejesha milion 4 ndani ya miez 2 tuu, dhamana yake hati halali ya nyumba ipo Dsm. Anataka kutoa mazao shambani yanaharibika aweke store. Please ni PM nikupe mawasiliano yupo hapa Dsm pia.
Wakuu kuna mtu anahitaji mkopo wa dharula Tsh milion 3 atarejesha milion 4 ndani ya miez 2 tuu, dhamana yake hati halali ya nyumba ipo Dsm. Anataka kutoa mazao shambani yanaharibika aweke store. Please ni PM nikupe mawasiliano yupo hapa Dsm pia.
M mwipande Member Joined Jun 13, 2014 Posts 57 Reaction score 13 Sep 25, 2014 #2 Ungekuwa mwezi mmoja mi ningekupa