demu wa kikinga
Member
- Mar 21, 2018
- 46
- 14
NBCHabari zenu wakuu samahani nilikuwa nauliza bank ipi isiyo na masharti magumu ya mikopo nahitataji kukopa kama milioni mbili. Anayejua naomba anijuze
Mikoa ipi ina wataalamu Wa jadi - JamiiForums
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga anayeweza kumshikisha adabu mtu maana kila ninapozunguka napewa dawa ya mapenzi yaana mabwana kibao...www.jamiiforums.com
Vp ulishampata mganga
Hahahaha kumbe alukuwa anatafutaga mganga duuuuNB
NBC
Sijapata nielekeze
Kakope kwa wakinga wenzio mbona wana mihela sanaHabari zenu wakuu samahani nilikuwa nauliza bank ipi isiyo na masharti magumu ya mikopo nahitataji kukopa kama milioni mbili. Anayejua naomba anijuze