Mkopo wa haraka wa 400,000/= Unahitajika

Hivyo vitu vya ndani ataondoka navyo ukishalipa arudishe au niaje!! Na ni vitu gani ? Isije ikawa ni mkeka vikombe vya plastik na redio ya mkulima!!!
Kama hatarudishiwa hela yake atavibeba, kabati, kitanda, friji na vinginevyo.
 
njoo forty forty leo saa 5 ucku uchukue. paperwork tutafanya kesho asubuhi wakati wa kuachana.
 
watu makauzu ha ha ha ha msaidieni mwenzenu january imetait mwezi una siku 40 huu
 
njo geto survey nakupa hata zaidi ya hyo mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…