Habarini wanajamvi,
Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa.
Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye riba au kunielekeza wapi naweza kuipata kwa haraka tafadhali naomba uniPM.
Kwasababu hii ni serious case,naomba pia walio serious wanisaidie.
Asanteni sana!