Mkopo wa Haraka wa Mil 2

Avenger

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
42
Reaction score
5
Habarini wanajamvi,
Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa.
Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye riba au kunielekeza wapi naweza kuipata kwa haraka tafadhali naomba uniPM.
Kwasababu hii ni serious case,naomba pia walio serious wanisaidie.
Asanteni sana!
 
wewe haupo serious na bila ni katika wale matapeli kama si panya road eti unafanya kazi sehemu flani? haina jina? halafu milioni 2 kwa mtu usiemjua unamuachaia dhamana gani? mke? gari au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…