MTAFUTAJIHALISI
Member
- Sep 23, 2011
- 15
- 1
.10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
Asante sana feis buku, ni kweli dunia yetu leo huna kabisa, kesho waweza kuwa na nafuu. ndio changamoto za maisha yetu. Pongezi zako kwa kutumia jina hilo.Mmh! Yanatokeaga haya!! Pole sana @ mtafutaji halisi!!
.10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
we kweli ccm, haitakuka 400,000 itakua around 33k, fanya 4,000,000 x 10% x 1/12 naona, sidhani kama jamaa alimaanisha 10% kwa mwezi yaani 120% kwa mwaka, haiwezekani!