Mkopo wa haraka

Mkopo wa haraka

mkopo gani mkuu unamaanisha hapa. Kuanzia sh ngapi ? Riba ikoje na dhamana je? Au hadi umeajiriwa na government.
 
mkopo gani mkuu unamaanisha hapa. Kuanzia sh ngapi ? Riba ikoje na dhamana je? Au hadi umeajiriwa na government.
dhamana Ni gari au vitu vya ndani kama tv ILA inatakiwa iwe Ni Mali yako halali na riba Ni aslimia 30 kwa,mwezi mmoja otherwise uaminifu Ni kitu muhimu kingine uwe na kitambulisho kwa ajili ya sisi kubaki na kopi kama,kumbukumbu katika kudai ILA hii huduma ipo Dar es,salaam
 
unatoa mpaka shilingi ngapi?na inachukua muda gani kuprocess mpaka kupewa?
 
Mkopo unachukua muda huohuo ukiwa Una sifa zote bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom