Mkopo wa kilimo

ams

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
78
Reaction score
115
Natafuta Mkopo wa milioni mbili na nusu ya kilimo cha Maua ardhi ninayo ila nimepelea hicho kiasi.
mkopeshaji anakua partner ata pata 30%
 
jamii forum na ishu za maendeleo sahau mkuu.
jaribu kwenda kwenye mabank kama crdb na zingine wanao hio mikopo lakini kwa wale wenye ozoefu wa biashara za kilimo zaidi ya mwaka au miaka miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…