Mkopo wa Mama Janeth Magufuli

okololo

Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
23
Reaction score
28
Wadau habari za mchana,
Naomba kuuliza,
Kuna akaunti ipo kwenye ukurasa wa Facebook unahusina na mikopo hii ni kweli au matapeli tu wa Tz.
Msaada wa maelezo kwa yoyote anayefahamu ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja Kama hiyo ilikuwa na picha ya mdee baadae ikabailishwa ikawekwa ya mama Salma K,
 
Wadau habari za mchana,
Naomba kuuliza,
Kuna akaunti ipo kwenye ukurasa wa Facebook unahusina na mikopo hii ni kweli au matapeli tu wa Tz.
Msaada wa maelezo kwa yoyote anayefahamu ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni matapeli, huwa wanatumia majina ya watu maarufu kutapeli watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…