mkizantongani
Member
- Apr 1, 2012
- 66
- 11
nina mashaka we si mtanzania
nina mashaka we si mtanzania
Hata na mimi ninakusapoti, inawezekana mwenzetu ni 'FORENA'!
Na wewe hovyo kwa sababu hujajibu swali.Jibu nikwamba mikopo hipo lakini kwa walimu wa vyuo tu(Academicians).Swali ni zuri
Majibu ya hapo juu ni ovyooooooo!!!!