CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Ebwana, I mean it. Najua nikiwa na-save 3,500,000 kwa mwezi naweza kuipata hiyo 35M. Lkn atizo ni kwamba naihitaji mapema mno hiyo 35. Moe precisely before the end of August, 2011.Please mwenye msaada kwa hili naomba sana!Thanks.ukiwa sirious rudi tena mana kwa take om ya mshahara huo huitaji kutafuta hzo 35m mkuu
Wadau, habari zenu?
Naomba mnisaidie kunijulisha ni nani anaweza kunikopesha 35,000,000 nitamrudishia 1,500,000 kila mwezi kwa miezi 30.
Sina gari, sina nyumba, sina kiwanja.
Nina kazi kama permanent employee katika International company, napata take home 4,000,000/= Tshs.
Kazi nimeanza mwezi huu.
Natumia Standard Chartered Bank, wanaweza kunikopesha tu endapo kampuni yangu itakuwa ilishaweka mkataba nao (unfortunately kampuni yangu haitumii bank hii), japo kampuni yangu ilisema inaweza kuipatia details bank ninayopitishia mshahara kuwa mimi ni mwajiriwa wake.
Ni fanyeje? I need some money soon!
Nataka ninunue beach plot Mtwara.
Siyo hivyo kaka, kuna mfanyakazi wa SCB aliniambia siwezi kupata mkopo kama kampuni yangu haijafanya makubaliano na Bank - kwamba inabidi iingie contract kuwa wafanyakazi wake wanaweza kuwa wanakopeshwa na SCB (haikuniingia akilini), nd'o nikaona niwaulize GREAT THINKERS na if possible mnipatie alternative. Wadau mliochangia inaonesha mnawafahamu vizuri hawa SCB, mnaweza kunipatia contact za mmoja wa wafanyakazi wa SCB. Nataka next week niwazukie ofisini, if possible nionane na Branch Manager. Lakini nahitaji mchango wenu zaidi na hata alternatives zingine. (sikimbii riba, huoni nime-promise kutoa 45,000,000 in total). I salute you all!!!!!!!!!Mkuu ukipata barua ya ofisi kwako nakuipeleka StanChart, mkopo unatoka kirahisi tu, sema wewe unakimbia riba.
Siyo hivyo kaka, kuna mfanyakazi wa SCB aliniambia siwezi kupata mkopo kama kampuni yangu haijafanya makubaliano na Bank - kwamba inabidi iingie contract kuwa wafanyakazi wake wanaweza kuwa wanakopeshwa na SCB (haikuniingia akilini), nd'o nikaona niwaulize GREAT THINKERS na if possible mnipatie alternative. Wadau mliochangia inaonesha mnawafahamu vizuri hawa SCB, mnaweza kunipatia contact za mmoja wa wafanyakazi wa SCB. Nataka next week niwazukie ofisini, if possible nionane na Branch Manager. Lakini nahitaji mchango wenu zaidi na hata alternatives zingine. (sikimbii riba, huoni nime-promise kutoa 45,000,000 in total). I salute you all!!!!!!!!!

nahisi kama mshkaji ame panic, na ukichukua mkopo kwa panic lazima uangukie pua, kwasababu unakuwa kama umekulupuka bila ya kujipanga.

<br /
work hard man and take time too vitu vizuri havitaki haraka jipange kwanza
nahisi kama mshkaji ame panic, na ukichukua mkopo kwa panic lazima uangukie pua, kwasababu unakuwa kama umekulupuka bila ya kujipanga.
but all the best, hope utafanikiwa

Wadau, habari zenu?

Naomba mnisaidie kunijulisha ni nani anaweza kunikopesha 35,000,000 nitamrudishia 1,500,000 kila mwezi kwa miezi 30.

Sina gari, sina nyumba, sina kiwanja.

Nina kazi kama permanent employee katika International company, napata take home 4,000,000/= Tshs.

Kazi nimeanza mwezi huu.

Natumia Standard Chartered Bank, wanaweza kunikopesha tu endapo kampuni yangu itakuwa ilishaweka mkataba nao (unfortunately kampuni yangu haitumii bank hii), japo kampuni yangu ilisema inaweza kuipatia details bank ninayopitishia mshahara kuwa mimi ni mwajiriwa wake.

Ni fanyeje? I need some money soon!

Nataka ninunue beach plot Mtwara.
Nashukuru kwa ushauri wako (nitajaribu kuwa-check). Kuna aliyekuwa mwanafunzi wangu wa tuition (A-Level) - 10 years ago - anafanya kazi hapo Stanbic Bank, nitam-call anipatie details. Thanks.

Angalia pia Stanbic bank, ili uweze kulinganisha Interest rates mwenyewe.
Duh, mshikaji mawazo yako ya ajabu kweli (how can you judge someone while you neither know him nor understand his plans?) Ulitaka nikope then ninunue gari? Use your common sense bwana unashusha hadhi ya GREAT THINKERS. You would have better kept quiet [the more the person speaks the more (s)he exposes his/her ignorance]
Camaraderie nashukuru sana n'shaongea na Salmin, 'hope mambo yataenda vizuri kwa kuwa kuna masuala itabidi afuatilie ofisini kwanza kesho atakapokuwa kazini, pia next wk nitapita Dar ofisini kwao SCB.
sija judge unaenda kufanyia nini hiyo hela wala sijakushauri ukafanyie nini, according na ulivyoandika, mtu anayetumia common sense anajua ni jinsi gani ulivyo panic, ungekuwa na long term plan huo mkopo ungeuomba toka january au mwaka jana, coz m 35 si kitoto kwa mtanzania wa kawaida(only visadi anaweza kuita ni vijisenti).
ninachoweza kukwambia ni kwamba ujipange
Ni fanyeje? I need some money soon! Nataka ninunue beach plot Mtwara.