mkuu

nenda bank za wanyonge,access bank, nmb, akiba, crdb nadhani interest rate zao ni kubwa

utazeeka huku unalipa mkopo, na huu mfumuko wa bei utaishije kwa miaka 3 labda uwe una vyanzo vingine vya mapato
mkuu
nenda bank za wanyonge,access bank, nmb, akiba, crdb nadhani interest rate zao ni kubwa
utazeeka huku unalipa mkopo, na huu mfumuko wa bei utaishije kwa miaka 3 labda uwe una vyanzo vingine vya mapato
Asante sana wakuu (Prodigal son, milano, Dr wa ukweli .....). Ukweli ni kwamba sina ujanja, hapa kazini wana mkataba na CRDB tu, na nikichukua million 10, nitatakiwa kulipa kama Tsh 14,0000 ambapo nitatakiwa kukatwa kila mwezi Tsh 390,0000. Hii ni kiboko ila sina namna, ngoja nijipange ili niingie huu mkataba wa kuongeza umasikini
.............changamka ikiwezekana hata kesho wahi nenda kakamilishe taratibu za huo mkopo,unapo nunua ardhi hakikisha kuwa imesajiliwa au ina hati.Hakika thamani ya fedha kwenye ardhi inapanda sana,kama iko dar ndo usiseme.Fahamu tuu kuwa ardhi haiongezeki.Kiwanja au ardhi ya thamani ya 10mil ya leo baada ya miaka 3 ni 70 mpaka 80mil kwa makisio ya haraka haraka..........Wakuu naomba ushauri....Mwenzenu mshahara wangu take home ni 800 000/-, nataka kukopa CRDB kama Ths 10 million hivi ili ninunue kiwanja, siewezi kukopa nje ya CRDB maana hapa kazini wana mkataba na CRDB tu, sasa naomba mnipe mwanga kuhusu huu uamumuzi je ni wa busara? nataka kulipa kwa miaka 3, vipi rates zao? kuna alternative gani kama CRDB ni kimeo? Jamani nipeni mawazo....Nawakilisha

Usikope ukanunue shamba. Huko ni kujitakia umasikini wa mchana kweupe. Kopa uanzishe biashara. Simamia biashara yako vizuri ilipe mkopo na inunue shamba/kiwanja. Utashangaa hadi watoto wako wanaanza shule unalipa mkopo...funguka macho ndugu yangu?

ni rahisi kuongea ila biashara ina risk kubwa kuliko hicho kiwanja. Tena biashara ambayo ndio kwanza anaanza!!
tunajua high risk high returns ila kwa case ya huyu kuchukua mkopo kuanza biashara simshauri. Bora ingekuwa ni mwendelezo wa biashara hata trend ya income angekuwa anajua.

Risk is the actual grammar of business language. If you cannot embrace grammar, you will never speak a good language.