mm nilikopa nikanunua gari.....ni tofauti tu ya vipaumbele, taabu ya usafiri ilinishinda......
Mkopo wa wa kiwanja ama kujenga unauma sana kwa kuwa huwa hauzalishi...ila kama unachanzo kingine cha mapato machungu yanapungua. Chukua CRDB si wabaya mimi nimekuwa nakopa hapo kwa zaidi ya miaka 6, kibaya ni pale walipoongeza kipengele cha mkopo kinachosema iwapo mdaiwa atashindwa kulipa deni lake lote muajiri atawajibika kulilipa.
<br />
<br />
ni rahisi kuongea ila biashara ina risk kubwa kuliko hicho kiwanja. Tena biashara ambayo ndio kwanza anaanza!!
Hivi mwaka 2011 Mulugo alikuwa ameshakamata wizara ya ELIMU? Huo uandishi Wa tarakimu fedha ni Wa ki-Mulugo kabisa!!Mkuu ukichukua 8,00,000Tsh ukatoa 3,90,000Tsh unabakiwa na 4,10,000Tsh ambayo ni hela inayokupasa kutumia mwezi mzima kwa miaka mitatu,
sio tatizo unaweza kujibana kwa miaka hiyo mitatu, MKUU OMBI LANGU NI KUWA UTENDEE HAKI HUO MKOPO,
usijaribu kwenda kuweka heshima Bar na kutafuta dogodgo wa kukukanda asubuhi na jioni kwa hiyo hela utakayo itabikia kwamiaka mitatu