Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Jamani nataka kujenga kwa Mkopo toka Bank...hiii kujenga kwa pesa za kuunga unga naona sitaweza na mambo yanabadilika, naombeni ushauri wenu ni wapi naweza pata mkopo wa Nyumba kwa at least masharti nafuu kidogo? Nataka kwangu mie jamani.......
Updates:
Nimepata mawazo mazuri sana toka kwenu wote na hapa nimeamua kuiweka hii aliyonitumia Mpwa wangu na mtani wangu katika siasa ZeMarcopolo ili na wengine ambao watafungua uzi huu iwe rahisi kwao kuusoma na wakasiadike.Pamoja na tofauti zetu katika mitizamo yetu ya kimaisha ya kila siku bado sisi ni ndugu, someni mpate faida Mbarikiwe sana sana

Mkuu,
Nimeipata hii hapa. Iwapo wewe ni mwajiriwa wa serikali, hii inakufaa zaidi.
Housing Revolving Loan Funds | Ministry of Lands and Human Settlements Development
Last edited by a moderator: