Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
-
- #21
Amen Amen Mpwa the same to you
Usijali karibu sana maana hapa ni sehemu mahususi kwa kushauriana kwa kila jambo hivyo ni wakati mzuri wa kujua kila jambo kwa undani na kwa umakini zaidi nakutakia kila la kheri mambo yako yakunyokee unalopanga na liwe!
Asante sana ndio naanza kuipitia na MUNGU akubariki sana, kweli kumbe tukiwa nje ya mambo ya siasa wote tunajikuta ni ndugu eeeehhh.Mkuu,
Nimeipata hii hapa. Iwapo wewe ni mwajiriwa wa serikali, hii inakufaa zaidi.
Housing Revolving Loan Funds | Ministry of Lands and Human Settlements Development
Asante sana ndio naanza kuipitia na MUNGU akubariki sana, kweli kumbe tukiwa nje ya mambo ya siasa wote tunajikuta ni ndugu eeeehhh.
Be blessed Mpwa
nimeipitia faster Mpwa ila kumbe ni kwa watu wa serikalini, jamani ambao mko serikalini jitahidi mjenge nafasi ndio hizo yaani ni sawa na bure kabisaaaaaaaMkuu,
Nimeipata hii hapa. Iwapo wewe ni mwajiriwa wa serikali, hii inakufaa zaidi.
Housing Revolving Loan Funds | Ministry of Lands and Human Settlements Development
nimeviona Mpwa ila mie sio government employee NAAMINI wapo watakaosoma document hii au thread hii na itakua ya msaada mkubwa sana kwao. Ubarikiwe ndugu yanguSawasawa,
Tuendelee kuwa pamoja.
Hapo chini kuna application form pamoja na viambatanisho vinavyohitajika.
nimeviona Mpwa ila mie sio government employee NAAMINI wapo watakaosoma document hii au thread hii na itakua ya msaada mkubwa sana kwao. Ubarikiwe ndugu yangu
Mpwa kama unawafahamu hata hao mie sina tatizo as far as nyumba inasimama...je unawahamu unipatie details zao Mpwao niwe na kwangu pia? BlessedHakuna shaka.
Nje ya serikali mikopo mizuri ni ile ya wanaokopesha vifaa vya ujenzi.
Lakini tatizo lao ni moja kuwa huwa wanataka upelekwe na mtu wanayemuamini.
Wanakupa vifaa unajenga halafu unalipa kidogo kidogo.
Mpwa kama unawafahamu hata hao mie sina tatizo as far as nyumba inasimama...je unawahamu unipatie details zao Mpwao niwe na kwangu pia? Blessed
Pale manzese kuna duka linaitwa USANGI Hardware. Liko along Morogoro Road.
Fika pale uulizie huduma hiyo. Ila kama bilivyokwambia changamoto yake ni kwamba wanataka upelekwe na mtu wanayemuamini.
Wapo wengine kariakoo, ila mitaa ya kariakoo kuelekeza inakuwa ngumu.
Ukiongea swala hili na watu wa kitaa unaweza kuta yupo anayefahamiana na wafanyabiashara wa namna hiyo akakupeleka.
MUNGU wa ajabu sana, asili yet sisi ni usangi kabisa wilayani Mwanga, ngojka niende nikawacheki kweli hayo ya referee yatafuata baadae.
Mpwa leo umenifurahisa sana sana
una visa wewe,,,,,,,,,,lazima nikawaoneBasi nenda kaongee nao, unaweza kukuta ni wajomba zako. Kule kwetu Usangi watu wote ndugu.
Duh kweli nimefurahi sana tuna mawazo mazuri sana sanaJF kila kitu kweli , Commercial Bank of Africa , Azania Bank na Kenya commercial bank wanatoa mikopo ya kujenga kikubwa nafikiri nikuwa na hati ya hilo eneo ,plan ya ujenzi na gharama zake pia bank statement ya miezi 6 pamoja na payslip