Nnavojua mm ni lazima uwe na biashara itakayokidhi vigezo vya kurudisha huo mkopo ulioomba kununulia hiyo nyumba na istoshe ukiipenda nyumba unaelewana na mteja benk wanaenda kuikagua wanakunuulia lkn wanabaki na document zote na ni lazima Ila pia piashara yako nayo itakuwa bond bank
Sent using
Jamii Forums mobile app