Nimesikia tangazo la mkopo wa jijenge wa nyumba. Wanasema unaweza kukopa hadi 500m na unaweza kurejesha mkopo mpa miaka 20. Kama kuna mtu mwenye uelewa naomba anisaidie.
Hizo taarifa ni za kweli. Cha Msingi nenda kwenye Bank yako ya CRDB hapo utapewa Maelezo ya kutosha. Ila cha Muhimu kutokana na Maelezo yao unatakiwa uwe na Chanzo maalumu cha Marejesho kama vile kazi ya Kuajiriwa au Biashara yenye Lesseni na Kutambulika vyema.
Mleta mada labda anajua, ila ninavyojua mafao huwa hayalipi mkopo, hata hivyo mafao kwa watumishi wa kawaida hayazidi 200M kwa miaka 10 ijayo hivyo bado haitoshi