Mkopo wa product za madukani

Mkopo wa product za madukani

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
10
Reaction score
7
Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa.

Product hizi ni
1.a )Mishumaa ya kawaida.
b)Mishumaa ya perfume ( rangi zote zipo).

2. a)Mafuta ya kawaida yenye manukato mazuri.
b)Mafuta ya nywele.

3 .Kiwi(dawa ya viatu, yenye harufu nzuri).

Angalizo. Hizi product ni kwa wakazi wa dar tu.
inbox me
 

Attachments

  • PXL_20240623_124302200.jpg
    PXL_20240623_124302200.jpg
    1.5 MB · Views: 5
Back
Top Bottom