chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,413
- 1,910
Kweli sijui. Lakini unauhakika wa kuweza kulipa hilo deni? Maana tuendako yawezekana mishahara hisitoke kwa wakatiHabari za kutwa wana forum. Kwa yeyote anayefahamu kampuni/duka linaloruhusu mkopo wa samani za nyumbani kwa watumishi wa umma naomba anifahamishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sijui. Lakini unauhakika wa kuweza kulipa hilo deni? Maana tuendako yawezekana mishahara hisitoke kwa wakati
Huyo kwenye avatar ndo chichiboy mwenyew kwel anahitaj Msaada kbx
Sent using Jamii Forums mobile app