Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
nitakuamini vipiJaman nahitaji mtu anayeweza kunikopesha simu aina ya Teckno K7 au K8 kwa bei ya 250000. Ila nimlipe mwezi wa 12 kuanzia tarehe 23-30.
Kwa mtu aliye serious. Tuwasiliane kwa 0624872625 ili tuelezane na kuona namna itakavyo.
Unakuja kazini kwangu tunafanya makubaliano na boss wangu kuhusu malipo ya mwezi husikanitakuamini vipi
Makubaliano yatachukua hatuaJe usipolipa
Ninayo apa k7 kama itakufaha niambie arf unapatikan wapi maan me niko dodomaJaman nahitaji mtu anayeweza kunikopesha simu aina ya Teckno K7 au K8 kwa bei ya 250000. Ila nimlipe mwezi wa 12 kuanzia tarehe 23-30.
Kwa mtu aliye serious. Tuwasiliane kwa 0624872625 ili tuelezane na kuona namna itakavyo.
Mi Niko Ifakara Moro karibu sanaNinayo apa k7 kama itakufaha niambie arf unapatikan wapi maan me niko dodoma