Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 72
Kama Kuna picha itapendeza zaidiPATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO.
Tunatoa tv flat-screen inch 24 yasola yenye kingamuz cha ndan kilicholipiwa miaka miwili BURE+dish.solar panel ynye W30 na betr ynye uwezo wa 90W.inayoweza kuwasha taa4 na kuendelea. Uwezo wa kuchaji cm kutumia radio na mengine Mengi.TUNATOA KWA MKOPO.NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO NDAN YA MIAKA MIWILI.au kulipa kwa wakati mmoja. Bei zetu ni nafuu sana.. Tuwasiliane 0766507273.Tupo Dar Bamaga
Hata bei na location pia zikiwekwa wazi, itapendeza zaidi, tusijemaliza vocha zetu bure kumbe ni kwa ajili ya wanaume wa darKama Kuna picha itapendeza zaidi
patam hapaYaani panel 30 watts betry 90 watts aisee acha matani ww au umejisahau kakaa...nnachojua panel ndo inatakiwa kuwa kubwa
Hizo bei nafuu ndio ungeweka hapa tuone.PATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO.