Mkopo wa ujenzi wanyumba.

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
Kama unatamani kujenga nyumba ya ndoto yako lakini kipato hakitoshi, sasa unaweza kupata mkopo wa ujenzi wa nyumba yako, lakini fata hatua hizi;

1. Tambua kupata mkopo wa ujenzi sio rahisi.

2. Tafuta mkopo wa ujenzi wa nyumba.

3. Anza kujenga msingi wa nyumba.

4. Fanya kazi na mjenzi anayetambulika.

Kujua zaidi kuhusu kupata mikopo ya ujenzi au ununuzi wa nyumba njoo kwenye maonesho ya Darproperty Expo tarehe 2-5 mwezi wa tano ukumbi wa Diamond Jubilee V.I.P Hall. Utakutana na taasisi za fedha zinazotoa mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…