Mkopo wa vyuo vikuu

titomrina

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Jamani kama kuna anayejua sababu za kuchelewa kwa mkopo kipindi hiki anifahamishe. Ilikuwa tupewe tangu katikati ya mwezi wa nne lakini paka sasa ni patupu bila taarifa yoyote.
 
Hela zimeenda kulipa wabunge wa bunge la katiba na matusi
 
Bunge la katiba wameongezewa muda.., so wamechota pesa za mikopo..!
 
tumenunua vifalu, mizinga, mabomu na maparachuti ya wanajeshi
 
Waombe vijana wenzako wanaosoma udsm, wakukopeshe. Leo wameingiziwa pesa ya kujikimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…