namba hii 0689837348 mwenye hii namba namtafuta amenitapeli shilingi laki moja na ishirini mwenye taarifa zake please tuwasiliane inbox zawadi itattolewa na taarifa itakuwa siri.
mwenye taarifa zake naomba tuwasiliane in box. hata yeye kama anajisoma ajisalimishe nadhani ananijua vizuri na nyumbani anapajua na mshauri arudishe pesa yangu namba zangu zote anazo ,kuzima simu kwake siyo solution nitampata tuu tuna anza na hapa alafu ntakuja kukutangaza kwenye magazeti jina anaitwa MOHAMEDI WANDA.
Alikua anatumia namba hii 0689 837 348 toka amenitapeli hiyo namba haipatikani.
ila kama unasoma hii meseji ntakupata tuu nadhani unanijua vizuri.