habarini wadau
naomba mnisaidie wenye uelewa na hili
suala la mikopo
Je ni benki ipi hapa tanzania yenye mashart nafuu
kama unapata salary ya laki sita kiwango gani cha juu unaweza chukua ktk benki hiyo
Thanks wote watakaotoa michango chanya salary ya serikalini