Mkopo

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
396
Reaction score
680
Kwa waliokosa mkopo wataweza kweli kujisomesha wenyewe jamani...na kama tunavyo fahamu hali halisi ya Watanzania wengi kiuchumi.......:A S-confused1::help::frusty:
 
nahisi wanataka tuwe wamachinga waje watupige virungu...!!yangu naanza kusoma mpk namaliza shule zangu ni za kata tuu leo hii kutoa 2m na upuuuzi nifanye kazi mwaka mzima siipati cjui itakuwaje
 
nahisi wanataka tuwe wamachinga waje watupige virungu...!!yangu naanza kusoma mpk namaliza shule zangu ni za kata tuu leo hii kutoa 2m na upuuuzi nifanye kazi mwaka mzima siipati cjui itakuwaje
Tatizo wanafanya mambo bila kuangalia hali halisi ya kipato cha watz walio wengi......haswa wale waliopangwa vyuo vya private ndio wanaonewa kweli.....:A S angry:
 
mungu alinipa akili moja namshukuru kwakweli nliamua kufanya transfr mapema kwa kuhofia kukosa boom...!!wacha tijaribu kwa mashirika binafsi
 
Hilo nalo neno....Ila cha msingi ni kumuomba mungu tu coz hata huko kuna matatizo yake........
 
Ni shida juu ya matatizo aisee......:mad2:
 
Naombeni mnisaidie kuangalia nmejaribu sion..
S0452/0062/2010
 
"The student with Index number 'S0545.0026.2006' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year." ndo wana maana gani? nisaidieni tafadhali.
 
umekoxa Nitafute kuptia 0759824023 il 2xaidiane nn cha kufanya 7b hata me nmekoxa na n education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…