Mkopo

Pole sana kwa mkasa wa kukosa alafu mwaka huu watu wengi kweli wamekosa...Kuna jamaa yangu nayeye alichaguliwa education lakini wamemnyima mkopo...
 
"The student with Index number 'S0545.0026.2006' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year." ndo wana maana gani? nisaidieni tafadhali.
Hapo huna kitu aisee...
 
Naombeni mnisaidie kuangalia nmejaribu sion..
S0452/0062/2010

The student with Index number 'S0452.0062.2010' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
The student with Index number 'S0452.0062.2010' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Pole yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…