- Mkorogo Jamaica unaanzia hata umri wa mtoto mchanga wa miezi sita, ndiyo kina dada wanawapaka mkorogo watoto wa miezi sita
- mkorogo ni kama fasheni za nguo, huwezi kuvaa nguo za miaka 1990 ktk mwaka 2013 hivyo huko Jamaica mkorogo ni ''fasheni''
- kuna saluni maalum za mkorogo mtaani kuanzia dakika ya 10'' ya video hapo chini wakina dada wanakwenda na kupakwa mkorogo na kufungwa ''sheets'' za plastiki kuongeza ''kiki'' mkorogo ulete mabadiliko ktk muda mfupi
- kama unataka mwezi December uonekane ''mweupe'' unaanza kazi hiyo mwezi September
- lazima kuvaa nguo za kupwaya wakati ukitaka mkorogo ufanye kazi yake vizuri na ili kuepuka ngozi kuwa na michirizi kutokana na kuvaa nguo za kubana wakati wa zoezi la ''mkorogo-kufanya-kazi yake''
- madhara: waliopaka mkorogo, tattoo ni tabu sana kupata ajira ktk makampuni au ofisi kubwa Jamaica
- Wapaka mkorogo wengine huitwa ''vampires'' kwa vile hujifungia ndani mchana kutwa na kutoka nje usiku tu kuepuka jua-kali kuchoma ''ngozi'' ya mkorogo
- Endelea kuangalia ''wataalamu'' wa mkorogo huko Jamaica
The women of Jamaica have taken bleaching their skins to a whole new level SMH.
Bleach dem seh.........Real household bleach too, even curry
SKIP TO 29:10 Di gal white
P.S. FOR THE RECORD BLEACHING STEMS FROM EVERYWHERE, INCLUDING AFRICA . ARABIA and places LIKE TANZANIA, THE PHILIPPINES, FRANCE AND MANY OTHER ISLANDS.
Source: islandpretty gal