I hate mkorogo for sho......sijui kwanini watu wanapenda kubrush nyuso zao ziwe nyeupe? Da asha baraka bana akzidi huyu mama na mkorogo....ukimuona kama ndizi mbivu....
Unawahusu nini huo mkorogo?? mmeona dada wa watu anajitahidi na life lake mnakosa pa kumchafulia mmeamua kuja na hii ya mkorogo, muacheni na maisha yake bwana! hata wanywa pombe wenyewe hawajui kwamba ina madhara pia? kila mtu muacheni na maamuzi yake bora tu asivunje sheria za nchi
:lol:Kweli Asha Baraka anaelekea kufanana na Michael Jackson sasa. Hata mi nakerwa na hii mikorogo. Ni kutojiamini tu hamna jingine. Wenzao wakongo hii dhana kutojiamni kuanzia mavazi, lugha hadi ngozi yao walijengewa na wafaransa thru 'assimilation'A:lol: