MKT BAZECHA KANDA KUSINI: Mbowe hiyo miaka 5 unayosema utaondoka umemuandaa nani wa kumzidi Lissu ndani ya CHADEMA au mnataka mje mumfukuze Lissu?

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Anaandika Dkt Haule,

CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka ya kisheria? Ni demokrasia gani isiyo na mipaka ya kisheria ambayo mheshimiwa Freeman Mbowe anaitaka? Kwa nini Mbowe ni king'ang'anizi? Kuna nini kwenye uwenyekiti taifa?

Mara zote Vita ya kisiasa hufichua siri chafu za mambo mabaya ambayo viongozi wa pande zote mbili zinazopingana wametenda makosa hayo.

Vita hii ya kisiasa kati ya Mheshimiwa Tundu Lissu dhidi ya Mheshimiwa Freeman Mbowe imesababisha kufichuliwa udhaifu na mambo mabovu kutoka pande zote mbili. Lakini udhaifu huo na mambo hayo mabovu yakipimwa mezani kuona nani ni mzaifu zaidi na amefanya mambo mabovu zaidi atathibitika mheshimiwa Freeman Mbowe kuwa ndiye mdhaifu zaidi kuliko mheshimiwa Tundu Lissu na pia mheshimiwa Freeman Mbowe atapatikana kuwa na makosa mabaya zaidi kuliko ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Ushahidi wa mambo mabaya mengi yamefichuliwa ambayo aliyafanya mheshimiwa Freeman Mbowe ambaye kama angeamua kustaafu uwenyekiti yasingefichuliwa na angebakia kuheshimika kama mwenyekiti mstaafu.

Pia hatukatai kuwa mheshimiwa Freeman Mbowe amefanya Mengi Mazuri. Lakini kwa kuwa yeye yupo madarakani kwa miaka 20 wanachama wameshamchoka. Mfano wote tunajua ubora wa ladha na virutubisho vinavyopatikana kwenye nyama. Lakini ukiwaamuru watu kuwa ni lazima kila siku mle nyama kwa zaidi ya miaka 20 watapatikana watu wengi zaidi watakao pinga kula nyama hiyo kuliko wale watakao kubali. Tusime hivi mheshimiwa Freeman Mbowe sisi kama wanachama tumekuchoka au tuseme tumekukinai. Lazima tujali kuwa kiongozi hawezi kamwe kufananishwa na mwenzi wa ndoa unayelazimika kuwa naye maishani kote. Sasa mheshimiwa Mbowe anataka kufunga ndoa ya uongozi wenye jubilei ya miaka 25 ya maisha ya ndoa ya mume na mke ambayo wachache sana wanayafikia bila ya kutengana au kupeana talaka. Sasa inakuwaje yule anayelazimisha awe kiongozi wetu huku akikosa busara ya kutupima kama tumemvumilia makosa mangapi na kwa kiasi gani cha kuweza kumhukumu makosa yake. Nimehoji lugha hiyo ya kisiasa baada ya kupata ushahidi kutoka mikoa zaidi ya 17 ikiwa pamoja na mkoa wake unakota wa Kilimanjaro.

Kwa upande wangu mambo yaliyoniumiza sana kwenye uongozi wako mheshimiwa Freeman Mbowe ni kuwaamuru watia nia wa ubunge kulazimika kugharimia gharama zote za ujenzi wa chama kuanzia gharama za uandikishaji wa wanachama kidigitali, kugharimia chaguzi za misingi, matawi, kata, majimbo na mwisho kugharimia uchaguzi wa serikali za mitaa kiasi kwamba mimi binafsi nilijikuta kuingia kwenye mgogoro wa hatari wa kindoa kwa kutuhumiwa kufilisi mapato ya familia kwa ajili ya kukiwezesha chama kujengwa, kuenezwa na kukiwezesha chama kushinda uchaguzi za kiserikali ambazo mara zote zimeporwa na CCM.

Mbaya zaidi uongozi wako mheshimiwa Freeman Mbowe ulilazimisha pato la chama kujitoa kugharimia chaguzi za jimbo, wilaya, mkoa na kanda kiasi kwamba ulisababisha kutuanzishia mfumo wa rushwa uwezeshe kamilisha chaguzi hizo kupitia wagombea kusafirisha wajumbe viongozi, kuwalisha wajumbe viongozi na kuwalaza wajumbe viongozi wakati wewe mwenyekiti Freeman Mbowe unafanya ubadhilifu wa kupoteza pesa nyingi kwa kuendesha chopper(helikopta) angani kwenye kanda moja tu ya kaskazini ili kukurahisishia kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali za kanda hiyo wakati pesa hizo zingegawiwa majimboni, wilayani, mikoani na kwenye kanda zote kuwezesha kufanyika chaguzi tungefanikiwa kupata viongozi bora zaidi wenye tija kuliko walioko kwa sasa ambao wengi wao wameshinda chaguzi hizo kwa uwezo wa rushwa.

Udhaifu wa Mheshimiwa Freeman Mbowe ulianza mwaka 2015 alipokihujumu chama kuwapokea mafisadi maarufu wenye pesa za wizi wa pato la taifa letu ambao walitoka CCM kuja kugombea nafasi mbalimbali za kiserikali zikiwemo za urais iliyochukuliwa na marehemu Edward Lowassa na za ubunge na madiwani zilizochukuliwa na wana CCM mafisadi waliohama chama chao.

Tamaa ya fedha kutoka kwa wana CCM waliopokelewa na kuongeza wanachama kwa njia haramu ili tu chama chetu cha CHADEMA kiwe na viti vingi za wabunge na madiwani ili chama kiweze kupata nguvu kubwa na kuongeza rudhuku kubwa kumetusababishia matatizo makubwa yafuatayo:

1) Chama chetu cha CHADEMA hakikuaminika tena kwa watanzania waliopinga ufisadi na ulaji rushwa.

2) Upokeaji wa wanachama mafisadi na wala rushwa ulilazimisha chama tawala kujibu mashambulizi ya kufanya mchezo mchafu wa kukihujumu chama chetu cha CHADEMA kwa kuwanunua wenyeviti wa mitaa, madiwani na wabunge kiasi kwamba wengi wao walirudi tena CCM mambo ambayo kabla ya 2015 hayakufanyika.

3)Kushindwa kujitenga kutoka kwenye ufisadi na ulaji rushwa watanzania walikosa imani na chama kiasi cha kushindwa kushawishika kuitika kwenye maandamano na mahudhurio ya mikutano ya hadhara. Mikutano ya hadhara ilitikiwa pale tu wananchi waliponyang'anywa ardhi lakini pale penye matatizo yanayo fanana kwa ujumla nchi nzima watanzania hawakushawishiwa kuitika maandamano na kuhuria mikutano ya hadhara.

4)CHADEMA baada ya kuthibitika kuwa tunaungana na mafisadi na wala rushwa na hatimaye viongozi wetu kununuliwa wakiwemo madiwani na wabunge kulisababisha wale waliochukia ufisadi na ulaji rushwa ambao walikuwa wadau wanaogharimia ujenzi wa CHADEMA, wanaogharimia uenezi wa CHADEMA na kukiwezesha chama chetu kushinda chaguzi za serikali kuacha kuwa wadau wetu.

Kwa sasa CHADEMA kimekosa wadau walio watanzania wazalendo ambao wapo tayari kufadhili chama chetu kwa hoja tu ya kuungana na mafisadi na wala rushwa.

5) CHADEMA Kwa kuungana na mafisadi na wala rushwa matamko ya kisera yanayotamkwa na kuhutubiwa na mwenyekiti Freeman Mbowe yanakuwa hayana vitisho dhidi ya serikali ya CCM na hayana mvuto kwa watanzania.

NINI KIFANYIKE?

1) CHADEMA inahitaji mwenyekiti mpya asiye fisadi, asiye mla rushwa na asiye na tamaa ya kuongeza wanachama kwa njia chafu haramu ya kupokea mafisadi na wala rushwa ilimradi tu chama kiweze kuongeza ruzuku ili ije baadaye ihujumiwe na yeye mwenyewe mwenyekiti. Kwa hoja hii mheshimiwa Freeman Mbowe hafai kwa sasa kuwa mwenyekiti badala yake anahitajika mheshimiwa Tundu Lissu.

2) CHADEMA inahitaji mwenyekiti mwenye misimamo mikali inayotishia kuondosha ufisadi na ulaji rushwa wa CCM na wa CHADEMA pia. Kwenye hoja hii mheshimiwa Freeman Mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa sasa wa Chadema badala yake anafaa mheshimiwa Tundu Lissu

3)CHADEMA inahitaji mwenyekiti mwenye mipango mikali yenye misimamo ya uhalisia ya kuilazimisha CCM kuruhusu kuwepo kwa katiba mpya yenye sheria za uundaji wa tume huru ya haki ya uchaguzi.

4) CHADEMA hakihitaji mwenyekiti anayejiamini kupita kiasi (over confidence) kiwango kwamba kushindwa kuwaamini wengine wanaoweza kushika nafasi ya uongozi wa uwenyekiti wa chama taifa. Swali kwa Mheshimiwa Mbowe hivi hiki kipindi cha miaka mitano unayodai kuwa ni ya kipindi chako cha mwisho umemwandaa nani anayemzidi mheshimiwa Tundu Lissu ambaye yuko tayari kukurithi kuwa mwenyekiti wa taifa ? Ikiwa kama unamwazia akurithi Tundu Lissu kwa nini usimrithishe kwa sasa? Kwa nini mheshimiwa Freeman Mbowe umekuwa king'ang'anizi kwenye nafasi ya uwenyekiti? Huoni kung'ang'ania uwenyekiti huo unatupa picha potofu ya nyuma ya pazia ya uwenyekiti kuna kitu kingine cha ziada na kuwafanya watakao kuwa wenyeviti kufanya yasiyofanana na uwenyekiti hapo baadaye?

5) CHADEMA kinahitaji mwenyekiti mwenye uwezo wa kushawishi serikali mbalimbali duniani ziweze kukiwezesha chama chetu kifedha, kukuza ushawishi wake dhidi ya serikali na wananchi na kuwezesha ushindi wa chama chetu kwenye chaguzi za kiserikali. Kwa sasa mheshimiwa Freeman Mbowe hana uwezo huo isipokuwa mwenye uwezo huo ni Mheshimiwa Tundu Lissu pekee ambaye ana mahusiano na serikali mbalimbali duniani.

6) CHADEMA kinahitaji mwenyekiti mwenye uwezo wa kuweka vikwazo vya aina mbalimbali vyenye uwezo wa kuilazimisha CCM kuruhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mheshimiwa Freeman Mbowe amethibitika kukosa aina yeyote ya kikwazo kinachoweza kuilazimisha CCM kuruhusu katiba mpya na tume huru. Mwenye uwezo huo ni Mheshimiwa Tundu Lissu.

7) CHADEMA kinahitaji mwenyekiti mpya mwenye uwezo wa kusimamia mgao sawa wa pato la chama kwenda kwenye kanda, mikoa, wilaya na majimbo ili kuwezesha ujenzi wa chama, uenezi wa chama na kuwezesha chama kushinda chaguzi za serikali. Kwenye hoji hii mheshimiwa Freeman Mbowe ameshindwa kabisa kuitekeleza zaidi ya yeye kufuja pato la chama kiupendeleo kwenda kwenye kanda yake moja tu ya kaskazini tena kwa njia ya ubadhilifu wa pesa za matumizi ya chopper isiyopitishwa bajeti yake kidemokrasia. Pia amebainika kuzitenga kabisa kihuduma baadhi ya kanda ikiwemo kanda ya kusini. Eti sera yake palilia mmea ulipo kwenye rutuba upate mazao zaidi na ule mmea usio kwenye rutuba uachwe ujifie kifo cha mende. Yaani sijui mheshimiwa haelewi kuwa palipokosekana rutuba panawekwa mbolea? Yaani sisi wa kanda ya kusini CHADEMA iliachwa ijifie kifo cha mende. Nina uhakika kosa hili limefanyika kwenye kanda mbalimbali. Kwa sasa tutamuhitaji mwenyekiti mpya mwenye uwezo wa kusikiliza maumivu yaliyotajwa hapa ambaye siyo mwenyekiti mwengine zaidi ya Mheshimiwa Tundu Lissu.

8) CHADEMA inamuhitaji mwenyekiti anayeheshimu uratibu wa bajeti ya pato la chama lisilo kiukwa matumizi yake ya utekelezaji kwa kuhujumiwa nje ya malengo yake yanayo vunjwa na dharura mbalimbali zikiwemo na zile za uendeshaji wa chopper zisizo na tija kwenye ushindi wa chaguzi za serikali. Kwa hoji hii mheshimiwa Freeman Mbowe hafai kuwa mwenyekiti.

9) CHADEMA inahitaji mwenyekiti mpya anayeheshimu demokrasia Kwenye hoja hii mheshimiwa Freeman Mbowe hafai kuwa mwenyekiti kwa sababu kwenye chaguzi kazaa za kanda zilizopita hasa zile 2014 hadi 2016 alikuwa na kura ya vetu ya kushinikiza viongozi wa Kanda kuwa wale aliowapendekeza yeye pekee. Ushahidi huu upo kwenye kanda mbalimbali. Tunamuhitaji mheshimiwa Tundu Lissu awe mwenyekiti mpya kwa kujifunza makosa ya Mheshimiwa Freeman Mbowe.

10) CHADEMA inahitaji mwenyekiti anayeheshimu na kusimamia utekelezaji wa maamuzi ya chama. Kwa hoji hii mheshimiwa Freeman Mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA kwa sababu aliahirisha operesheni ya ukuta mwaka 2016 bila vikao vya maamuzi vya chama. Mimi nikiwa mmoja kati ya waasisi wa operesheni ukuta ambaye niliona mafanikio ya operesheni ukuta yaliyokuwa na uwezo wa kuilazimisha CCM kukubali kupatikana kwa katiba mpya na tume huru nilisikitika sana na kukatishwa kwa operesheni hiyo kuliko nifanya nikate tamaa ya mafanikio ya ujenzi wa chama, uenezi wa chama na ushindi wa chama kwenye chaguzi za serikali baada ya kuamrishwa kusitisha operesheni ukuta na mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kisingizio kutoka kwa viongozi wa dini kitu ambacho hakikuwa cha kweli. Niliumia sana kwa uamuzi wake wa kidikteta. Kwa sasa tunamuhitaji Tundu Lissu ambaye hawezi kukiuka maamuzi ya chama.

Nina mengi ya kuchambua kuhusu uchaguzi huu lakini siwezi kuongea makubwa zaidi kwa sababu yatakianika chama kuwa uchi wa aibu inayo kifedhehesha chama na pia kuepusha hoja ya visasi itakayodhoofisha ujenzi wa chama, uenezi wa chama na kukifanya chama kushinda chaguzi za serikali. Naomba niishie hapo.

Kwa maswali nipigie +255757559876

Ni mimi Kamanda Doctor Claudius Haule Ligendayika Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Songea ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wazee wa chadema kanda ya kusini.
 
Lissu akishindwa kwenye huo uchaguzi ndio mwanzo wa kugawana fito, kama jinsi Msigwa alivyoshindwa huko nyanda za juu kusini.
 
Nikijibu hiyo heading.

Mwanachama yeyote wa CDM akiwemo Lissu anafukuzika ikiwa itathibitika amefanya makosa yanayostahili adhabu hiyo.
Lissu is not immune to expulsion.
 
Lissu watamfukuza baada tu ya Uchaguzi kama hatashinda
 
Back
Top Bottom