Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Afisa Uchaguzi ona na huyu naye anavyojidharirisha na binti mdogo!!! Watampiga asubuhi aanze kulalamaHuyu hapa
View attachment 1506529
πππkaja na kisu chake kabisa
Mkuu Silinde vipi nasikia amekimbilia Tunduma huko.πππ
Kaja na kisu chake kabisa
tamaa mbele mauti nyumaMbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.
Kamjaza naonaMbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.
Mama kijacho huyo. Kapuya kaachia shuti kaliMmmh huyo mdada mbona kazeeka ghafla
pale vp yule mama wa cufMbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.