Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60
fella kwa sasa ni diwani wa kata ya kilungule wilaya ya temeke dar es salaam
Mkubwa Fella ajipanga kugombea Urais mwaka 2040 – Bongo5.com
Wewe dogo aslay au maromboso,atabaki kua rais wenuMkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60.
Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Bongo5.com
Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60.
Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Bongo5.com
that's what maths says
naona mna mkashifu sana huyu jamaa bila kujua kuwa ni diwani sasa hivi, na anaweza akawa mbunge 2020 kwani ni mtu anayeweza kusimamia kazi kwa ufanisi sana
tafuteni historia yake kabla ya kuanza kumkashifu